WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (kulia) akimkabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 3 Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Geay ambaye ameshika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Buston Marathon) yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma. Fedha hizo zimetolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
WAZIRI WA MICHEZO AWAZAWADIA MAMILIONI WANARIADHA GEAY NA SIMBU
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (kulia) akimkabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 3 Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Geay ambaye ameshika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Buston Marathon) yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma. Fedha hizo zimetolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
0 comments:
Post a Comment