WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Soka la Wanawake kwa Shule za Sekondari Afrika, Timu ya Fountain Gate leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma.
Mabingwa hao wa Ukanda wa CECAFA wamepata muwaliko wa kuingia Bungeni kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa baada ya Kutwaa Ubingwa huo hivi Karibuni nchini Afrika Kusini.
Wengine katika picha ni Viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana, Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania wakiongozwa na Rais Wallace Karia pamoja na Viongozi na Benchi la Ufundi la Fountain Gate.
0 comments:
Post a Comment