HATIMAYE Kampeni ya Mtoko wa Kibingwa kupitia Kampuni ya Betika wawapokea washindi 100 kutoka mikoa yote Tanzania kwa ajili ya kutazama dabi kali afrika mashariki kati ya Simba na Yanga inayotarajiwa kukipiga kesho kwenye dimba la mkapa.
Hata hivyo,Samweli amesema Tangu wameanza kampeni ya mtoko wa kibingwa wamefanikiwa kuleta jumla washindi 400 kwa ndege kutoka mikoa yote Tanzania ambapo Msimu wa 4 washindi wa mtoko wa kibingwa walikuwa 50 sahivi mpaka 100.
Kadhalika, Samweli amesema amewataka watanzania kuendelea kucheza kupitia BETIKA na kudai ukicheza unapata ushindi hapo hapo.
kwa upande wao washindi wa BETIKA,Richard Mbewe ambaye ni miongoni mwa washindi wa mtoko kibingwa ameonesha furaha yake kuja Dar es Salaam.
"Kweli nimeamini BETIKA hawana mbambamba ,katika maisha yangu sijawai kupanda ndege kupitia BETIKA nimepanda hatimaye nimekuja kutazama mechi ya watani ,najisikia furaha sana,nawashauri watanzania wenzangu tuendelee kucheza na BETIKA"Amesema Mbewe ambaye ni mmoja ya washindi wa promosheni ya mtoko wa kibingwa,ambapo washindi hao wataghalamiwa kila kitu wawepo hapa Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment