TIMU ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imekamilisha ziara yake ya Algeria kwa kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji leo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki.
Mechi ya kwanza Twiga Stars ilichapwa mabao 4-0 hapo hapo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki nchini humo.
Ikumbukwe jana timu ya wasichana chini ya umri wa 20 ilichapwa 1-0 na mabinti wenzao wa Morocco hapo hapo Uwanja wa Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki.
0 comments:
Post a Comment