• HABARI MPYA

        Saturday, April 29, 2023

        SIMBA WALIVYOIANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI LEO


        KIUNGO wa Simba SC raia wa Mali, Sadio Kanote akiwa Jijini Casablanca, Morocco leo wakati wa safari ya kurejea nyumbani, Dar es Salaam baada ya kutolewa na Wydad Club Athletic katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa penalti 4-3 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Mohamed V kufuatia sare ya jumla ya 1-1, kila timu ikishinda 1-0 kwake.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA WALIVYOIANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry