POLISI TANZANIA YATOKA NYUMA KUICHAPA IHEFU 2-1 MOSHI
WENYEJI, Polisi Tanzania wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Ihefu SC walitangulia kwa bao la Adam Adam dakika ya 48, kabla ya Kelvin Kongwe Sabato kuisawazishia Polisi dakika ya 62 na kufunga la ushindi dakika ya 73. Kwa ushindi huo, Polisi Tanzania inafikisha pointi 22 katika mchezo wa 27 na kusogea nafasi ya 15 kwenye Ligi ya timu 16, wakati Ihefu inabaki na pointi zake 33 za mechi 27 pia nafasi ya saba.
Uganda Cranes legend Samuel Baker Kasigwa rests
-
FUFA is saddened to learn of the passing on of former Uganda Cranes player
Baker Kasigwa that occurred today at his home in Kisalizi, Masindi
district. U...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment