MABAO ya Joe Willock dakika ya 65 na Callum Wilson dakika ya 88 yameipa Newcastle United ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne. Kwa ushindi huo, Newcastle United inafikisha pointi 50 na kupanda nafasi ya tatu ikiizidi wastani wa mabao tu Manchester United inayohamia ‘Mtaa wa Nne’ baada ya wote kucheza mechi 27.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment