AFISA Mtendaji Mkuu wa Yanga SC, Andre Mtine ameondoka nchini jioni hii kuelekea Jijini Cairo nchini Misri kuiwakilisha klabu yake kwenye droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Baada ya kuongoza Kundi D mbele ya US Monastirienne ya Tunisia itapangiwa mmoja kati ya washindi wa pili wa Kundi A, B na C ambao ni USM Alger ya Algeria, Rivers United ya Nigeria na Pyramids ya Misri. Monastirienne iliyomaliza ya pili Kundi D itapakutana na mmoja wa vinara wa makundi A, B na C ambao ni Marumo Gallants ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na FAR Rabat ya Morocco.
FAZ appoints Hauptle as new Copper Queens Coach
-
The Football Association of Zambia (FAZ) has confirmed the appointment of
Swiss national Nora Hauptle as Copper Queens coach on a three year deal.
Haupt...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment