KOCHA Mbrazil wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ akijadiliana jambo na Nahodha, John Bocco (kushoto) wakati wa mazoezi ya kwanza ya timu baada ya kuwasili Casablanca nchini Morocco jana. Simba itamenyana na Wydad AC kesho Saa 4:00 usiku katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikihitaji sare kwenda Nusu Fainali kufuatia ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam Jumamosi iliyopita. GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment