TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA Cup England baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 0-0 na Brighton & Hove Albion FC usiku wa Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London. Ni Victor Lindelof aliyefunga penalti ya ushindi baada ya Solly March kukosa upande wa Brighton na sasa kikosi cha Erik ten Hag kitakutana na mahasimu, Manchester City katika Fainali Juni 3 hapo hapo Wembley.
Postecoglou defends Spurs appeal over Bentancur ban
-
Ange Postecoglou says he is not interested in how the decision to appeal
against Rodrigo Bentancur's seven-game domestic ban for a racist slur looks
to the...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment