MABAO ya Antony dakika ya 32 na Diogo Dalot dakika ya 76 yameipa Manchester United ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The City Ground mjini Nottingham, Nottinghamshire. Kwa ushindi huo, Manchester United imefikisha pointi 59 na kurejea nafasi ya tatu Newcastle United baada ya wote kucheza mechi 30, wakati Nottingham Forest inabaki pointi zake 27 za mechi 31 nafasi ya 18.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment