MAN UNITED YAICHAPA BRENTFORD 1-0, YAREJEA ‘TOP FOUR’
BAO pekee la Marcus Rashford dakika ya 27 jana limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Brentford FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 53 katika mchezo wa 28 na kusogea Tena nafasi ya nne, wakati Brentford wanabaki na pointi zao 43 za mechi 29 nafasi ya tisa.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment