NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco ndiye mchezaji aliyefunga mabao matatu kwenye mechi moja zaidi ya mara moja msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanmzania Bara. Bocco, mchezaji wa zamani wa Cosmopolitan na Azam FC zote za Dar es Salaam japo ana mabao tisa tu msimu huu kwenye Ligi Kuu, lakini ana hat-trick mbili. Wanaomfuatia ni wachezaji wenzake wa Simba, Mkongo Jean Baleke na Mrundi, Saido Ntibanzokiza ambao kila mmoja ana hat-trick moja sawa na Fiston Mayele, Stephanie Azizi Ki wote wa Yanga na Ibrahim Mkoko wa Namungo FC.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment