KAJULA HUYU HAPA CAIRO TAYARI KUIWAKILISHA SIMBA SC LEO USIKU
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula akiwa makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Jijini Cairo nchini Misri leo kuiwakilisha klabu kwenye droo ya mech za Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kupangwa leo kuanzia Saa 3:30 usiku. Baada ya kumaliza nafasi ya pili kwenye Kundi C nyuma ya vinara, Raja Casablanca ya Morocco, Simba SC inatarajiwa kupangiwa ama mabingwa watetezi, Wydad Casablanca ya Morocco pia, Esperance ya Tunisia au Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
'Beat Liverpool and Forest are in the title race'
-
When Nottingham Forest face Liverpool at the City Ground next week it will
be a top-of-the-table match that barely anyone could have predicted back in
August.
CAF confirm date and venue for CHAN 2024 Draw
-
CAF has confirmed the official draw for the 2024 TotalEnergies African
Nations Championship (CHAN) will take place on 15th January 2025. Kenyatta
Interna...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment