UONGOZI wa KMC umemfuta kazi Kocha Mnyarwanda, Thierry Hitimana na wasaidizi wake wote nafasi yake kuchukuliwa na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye anaingia na wasaidizi wake. Hitimana anaondolewa kutokana na mwenendo mbaya wa timu, hadi sasa ikiwa inashika nafasi ya 14 ikiwa na pointi 26, ikifuatiwa na Ruvu Shooting pointi 20 na Polisi Tanzania pointi 19. Ikumbukwe mwishoni mwa msimu timu mbili zitakazoshika nafasi za mwisho, 15 na 16 zitashuka moja kwa moja. Aidha, timu zitakaomaliza nafasi ya 13 na 14 zitamenyana baina yao na itakayofungwa baada ya mechi mbili za nyumbani na ugenini itakwenda kucheza timu ya Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment