BONDIA Muingereza, Anthony Joshua (kushoto) leo anapanda ulingoni ukumbi wa O2 Arena, Greenwich kuzipiga na Mmarekani, Jermaine Franklin katika pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa. Joshua atakuwa anapigana kwa mara ya kwanza tangu apokonywe mataji yake ya IBF, IBO, WBA na WBO na Olexsandr Usyk wa Ukraine Agosti 20 mwaka jana ukumbi wa Jeddah Superdome, Jeddah, Saudi Arabia baada ya kupigwa kwa pointi. Lilikuwa pambano la pili mfululizo Joshua anapigwa na Usyk baada ya lile la Septemba 25, mwaka 2021 ukumbi wa Tottenham Hotspur Jijini London.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment