BONDIA Muingereza, Anthony Joshua (kulia) usiku wa Jana amefanikiwa kumshinda kwa pointi Mmarekani, Jermaine Franklin katika pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa ukumbi wa O2 Arena, Greenwich kuzipiga. Pamoja na ushindi huo, lakini hakuwa AJ yule ambaye walimzoea kumuona kwa ubora wa hali ya juu ulingoni kabla ya kupoteza mapambano mawili mfululizo mbele ya Olexsandr Usyk wa Ukraine na kuvuliwa mataji yake ya IBF, IBO, WBA na WBO. Baada ya pambano hilo Anthony Joshua alisema anamtaka Muingereza mwenzake na bingwa wa WBC, Tyson Fury.
Man City played 'really good again' - Guardiola
-
Pep Guardiola says Manchester City played "really good again" in their home
draw against Everton, despite having now won only one of their last 13
games.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment