// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JONESIA RUKYAA NDIYE REFA WETU WA KESHO SIMBA MA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JONESIA RUKYAA NDIYE REFA WETU WA KESHO SIMBA MA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, April 15, 2023

    JONESIA RUKYAA NDIYE REFA WETU WA KESHO SIMBA MA YANGA


    REFA Jonesia Rukyaa wa Kagera ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Mechi hiyo ya marudiano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuanza Saa 11:00 jioni na Jonesia atasaidiwa na washika vibendera Mohamed Mkono wa Tanga na Janeth Balama wa Iringa.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JONESIA RUKYAA NDIYE REFA WETU WA KESHO SIMBA MA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top