Wanasoka ndugu, beki Kasongo Athumani Mgaya wa Simba SC (kushoto) akiwania mpira na kaka yake, Issa Athumani Mgaya wa Yanga SC (sasa marehemu) katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) baina ya watani hao wa jadi Machi 27, mwaka 1993 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1, mabao yake yote yakifungwa Said Mwamba 'Kizota' (sasa marehemhu) dakika ya 47 na 57 mara zote akimalizia pasi za Zamoyoni Mogella, wakati bao pekee la Simba SC lilifungwa na Edward Chumila (marehemu pia) dakika ya 75.
ISSA ATHUMANI NA MDOGO WAKE, KASONGO SIMBA NA YANGA 1993
Wanasoka ndugu, beki Kasongo Athumani Mgaya wa Simba SC (kushoto) akiwania mpira na kaka yake, Issa Athumani Mgaya wa Yanga SC (sasa marehemu) katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) baina ya watani hao wa jadi Machi 27, mwaka 1993 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1, mabao yake yote yakifungwa Said Mwamba 'Kizota' (sasa marehemhu) dakika ya 47 na 57 mara zote akimalizia pasi za Zamoyoni Mogella, wakati bao pekee la Simba SC lilifungwa na Edward Chumila (marehemu pia) dakika ya 75.
0 comments:
Post a Comment