NYOTA wa Simba, Mkongo Jean Baleke (kushoto) na Stephane Aziz Ki wa Yanga wote wapo midomoni mwa mashabiki kuelekea pambano la watani wa jadi la Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Je, atang’ara zaidi Aprili 16? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona.
0 comments:
Post a Comment