WENYEJI, Ruvu Shooting wametandikwa mabao 3-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Abdul Suleiman Sopu dakika ya 41 na Ayoub Lyanga, mawili dakika ya 67 na 75, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Michael Aidan dakika ya 80. Azam FC inafikisha pointi 53 katika mchezo wa 27 na kusogea nafasi ya tatu, ikiizidi pointi mbili Singida Big Stars ambayo pia ina mechi moja mkononi, wakati Ruvu Shooting inaendelea kushika mkia na pointi zake 20 za mechi 27 pia.
Postecoglou defends Spurs appeal over Bentancur ban
-
Ange Postecoglou says he is not interested in how the decision to appeal
against Rodrigo Bentancur's seven-game domestic ban for a racist slur looks
to the...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment