
Sunday, April 30, 2023

HATIMAYE Yanga SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya sare ya bila kufungana na Rivers United ya Nigeria...
ROBERTINHO AELEKEZA NGUVU ZAKE UBINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA
Sunday, April 30, 2023
KOCHA Mbrazil wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ amesema kwamba amehamishia nguvu zake kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kutolew...
MAN UNITED WAIZABA ASTON VILLA 1-0 OLD TRAFFORD
Sunday, April 30, 2023
BAO pekee la Bruno Fernandes dakika ya 39 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Ma...
WENYE TAJI LAO MAN CITY YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
Sunday, April 30, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Fulham leo Uwa...
NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA NI AL AHLY V ESPERANCE NA MAMELODI V WYDAD
Sunday, April 30, 2023
VIGOGO wa Afrika, Al Ahly wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Raja Club Athleti...
TFF YASHUTUSHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA LIGI YA CHAMPIONSHIP
Sunday, April 30, 2023
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba linafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa katika mchezo wa Ligi ya Championship baina ya Fo...
Saturday, April 29, 2023
MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUMALIZANA NA WANIGERIA KESHO
Saturday, April 29, 2023
NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto mazoezini leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea mchezo wa...
MASHUJAA SIMBA SC MAPEMA KESHO ASUBUHI WAPO DAR
Saturday, April 29, 2023
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho Saa 4:05 asubuhi kikitokea Morocco ambako jana kilitolewa katika Ligi ya Mabingwa...
MAYELE APEWA JEZI YA HESHIMA YA MABAO 50 YANGA
Saturday, April 29, 2023
WACHEZAJI wa Yanga SC leo wamemkabidhi mwenzao, mshambuliaji Mkongo Fiston Kalala Mayele jezi ya idadi ya mabao aliyofunga hadi sasa, 50 zoe...
JKT, KITAYOSCE NA PAMBA ZOTE ZATOA SARE CHAMPIONSHIP
Saturday, April 29, 2023
TIMU za JKT Tanzania, Kitayosce na Pamba FC zote zimetoa sare katika mechi zao za leo za Ligi ya Championship na kufanya msimamo uendelee ku...
WYDAD CASABLANCA 1-0 SIMBA SC (PENALTI 4-3, LIGI YA MABINGWA)
Saturday, April 29, 2023
SIMBA WALIVYOIANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI LEO
Saturday, April 29, 2023
KIUNGO wa Simba SC raia wa Mali, Sadio Kanote akiwa Jijini Casablanca, Morocco leo wakati wa safari ya kurejea nyumbani, Dar es Salaam baada...
NABI ASEMA DHAMIRA YA YANGA NI KUWAFUNGA TENA RIVERS
Saturday, April 29, 2023
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Nasredeen Nabi amesema dhamira yao ni kushinda mchezo wa kesho wa marudiano Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika ...
TWAHA KIDUKU AONGEZA MKATABA WA UBALOZI BAKHRESA GROUP
Saturday, April 29, 2023
BONDIA Twaha Kiduku ameongeza mkataba wake wa ubalozi wa makampuni ya Bakhresa Group. Tunamtakia Kila la Kheri katika kutekeleza majukumu ya...
SIMBA SC YAFA KIUME MOROCCO, YATOLEWA KWA MATUTA
Saturday, April 29, 2023
SAFARI ya Simba SC katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara nyingine leo imeishia hatua ya Robo Fainali baada ya kutolewa na mabingwa watetez...
Friday, April 28, 2023
WIKIENDI YA SHANGWE MERIDIANBET
Friday, April 28, 2023
Wakati wengi tukusubiri kujua hatma ya baadhi ya timu kusalia kwenye Ligi zao na nyingine kutwaa ubingwa , Mer...
RAIS SAMIA SASA KUZAWADIA SH MILIONI 10 KILA BAO SIMBA NA YANGA CAF
Friday, April 28, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepandisha dau la zawadi kwa mabao yanayofungwa na klabu za Simba na Yang...
Subscribe to:
Posts (Atom)