• HABARI MPYA

        Wednesday, March 01, 2023

        YANGA SC YAAJIIRI MTAALAMU MWINGINE BENCHI LA UFUNDI


        KLABU ya Yanga imetanua benchi lake la Ufundi kwa kumuajiri Mtunisia mwingine, Khalil Ben Youssef kuwa mchambuzi wa video (video analyst), ambaye majukumu  yake ni kuwatathmini wapinzani wao.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC YAAJIIRI MTAALAMU MWINGINE BENCHI LA UFUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry