• HABARI MPYA

        Thursday, March 30, 2023

        YANGA SC ILIVYOONDOKA LEO DAR KUIFUATA MAZEMBE LUBUMBASHI


        WACHEZAJI wa Yanga, beki Dickson Job (kushoto) na winga Dennis Nkane (kulia) wakati wa safari ya kwenda Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) leo kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, TP Mazembe Jumapili.

        Beki Juma Shabani (juu) na winga Mkongo mwenzake, Jesus Moloko wote wanakwenda kuikabili timu ya nyumbani ya kwao



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOONDOKA LEO DAR KUIFUATA MAZEMBE LUBUMBASHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry