// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
WAZIRI WA MICHEZO ALIVYOWAKABIDHI YANGA MAMILIONI YA RAIS SAMIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEWAZIRI WA MICHEZO ALIVYOWAKABIDHI YANGA MAMILIONI YA RAIS SAMIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
WAZIRI WA MICHEZO ALIVYOWAKABIDHI YANGA MAMILIONI YA RAIS SAMIA
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindu Chana akimkabidhi Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto Sh. Milioni 10 ambazo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia ametoa zawadi ya Sh. Milioni 5 kwa kila bao walilofunga Yanga kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya US Monastirienne ya Tunisia leo kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment