Tuesday, March 28, 2023

    SILENT OCEAN YAANZA VYEMA RAMADHANI CUP

    WENYEJI, Silent Ocean jana ilianza vyema michuano ya Kombe la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, maarufu kama Ramadhani Cup kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Discount Centre Jijini Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SILENT OCEAN YAANZA VYEMA RAMADHANI CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry