// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SERIKALI YAONGEA NA WATURUKI WAJENGE VIWANJA VYA MICHEZO NCHINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESERIKALI YAONGEA NA WATURUKI WAJENGE VIWANJA VYA MICHEZO NCHINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SERIKALI YAONGEA NA WATURUKI WAJENGE VIWANJA VYA MICHEZO NCHINI
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya ya ujenzi ya SUMMA yenye makao yake makuu nchini Uturuki. Mazungumzo hayo yalihusu ujenzi wa viwanja vya michezo kwa lengo la kujadilii uendelezaji wa viwanja vya michezo na ujenzi wa viwanja vipya hapa nchini. Kampuni ya SUMMA imejenga viwanja vya michezo katika nchi mbalimbali duniani zikiwemo Rwanda, Senegal na Ivory Coast.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment