• HABARI MPYA

        Sunday, March 26, 2023

        SERIKALI YAMPONGEZA MANDONGA KUMCHAPA MGANDA NAIROBI


        SERIKALI imempongeza bondia Karim Mandonga kwa ushindi wa pointi jana dhidi ya Kenneth Lukyamuzi wa Uganda Jijini Nairobi nchini Kenya, siku ambayo Watanzania wenzake wengine Zawadi Kutaka, Fatuma Yazidu, Hassan Ndonga na George Banabucha walipoteza kwa pointi.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SERIKALI YAMPONGEZA MANDONGA KUMCHAPA MGANDA NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry