TIMU ya Ruvu Shooting imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Ruvu Shooting katika mchezo huo yamefungwa na Valentino Mashaka dakika ya 30 na Abrahman Mussa dakika ya 81, wakati la Mbeya City limefungwa na Sixtus Sabilo dakika ya 41 kwa penalti. Kwa ushindi huo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 20 na kusogea nafasi ya 15, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake 27 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 25.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment