// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NI REAL MADRID NA CHELSEA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENI REAL MADRID NA CHELSEA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NI REAL MADRID NA CHELSEA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA
MABINGWA watetezi, Real Madrid watamenyana na mabingwa wa mwaka 2021, Chelsea kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Manchester City watacheza na Bayern Munich. Katika droo ya Robo Fainali iliyopangwa leo, Benfica ya Ureno itamenyana na Inter Milan, wakati AC Milan watacheza na Napoli, zote za Italia. Mshindi kati ya Real Madrid na Chelsea atakutana na mshindi kati ya Man City na Bayern Munich katika Nusu Fainali, wakati mshindi kati ya Benfica na Inter Milan atamenyana na mshindi kati ya AC Milan na Napoli.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment