• HABARI MPYA

        Sunday, March 26, 2023

        NAMNA UGANDA WALIMUWEKEA ULINZI FEISAL JUZI MISRI


        KIUNGO Feisal Salum akiwa katika msitu wa wachezaji wa Uganda katika mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) juzi mjini Ismailia nchini Misri. Taifa Stars ilishinda 1-0.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NAMNA UGANDA WALIMUWEKEA ULINZI FEISAL JUZI MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry