// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, March 17, 2023

    NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA


    NAHODHA wa Yanga SC, beki Bakari Nondo Mwamnyeto ameunda taasisi yake ambayo leo imetoa misaada kwa watoto yatima na walemavu wa macho.
    "Tunamshukuru Mungu kuwatembelea watu wenye uhitaji katika jamii lengo ni kuwasaidia na kukidhi haja zao. Mungu alichotupa na sisi tunawapatia wenzetu hata kama ni kidogo, tunagawana nao," amesema Mwamnyeto aliyeongozana na rafiki yake na mchezaji mwenzake wa Yanga, Zawadi Mauya.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top