HAIJAWAHI kuwa ya kinyonge pale ambapo Meridianbet wana jambolao popote pale, Unaambiwa hivi wakali wa odds kubwa na kasinoya mtandaoni Meridianbet, walifika duka la ubashiri la Mwananyamala kufanya uzinduzi wa duka hilo kwa kutoa hudumabora za ubashiri, kubwa Zaidi Odds kubwa kila mechi, machaguoZaidi ya 1,000.
Huu ni muendelezo wa uzinduzi wa maduka ya ubashiri yaMeridianbet kote nchini, jambo hili linaenda sambamba naongezeko la odds kubwa kila mechi ambapo unaweza kubashirimubashara, lakini pia michezo ya sloti bomba za Aviator, poker, Roulette kwenye kasino ya mtandaoni.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwasana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Kipi kilichofanyika?
Mgeni njoo mwenyeji apone unaweza kusema hivyo, kwa sababuMeridianbet iliyowakilishwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko naMawasiliano Matina Nkurlu walifika na zawadi kabambe.
“Uzinduzi wa duka hili unaenda sambamba na huduma bora tunazozitoa kwenye maduka yetu kila siku, jukumu letu ni moja tukuhakikisha wateja wetu wanafurahi kila siku, mlitaka tuongezeodds kubwa tumefanya hivyo, mlitaka machaguo mengi Zaidi imekuwa hivyo”-Matina
Hali ilikuaje?: Wateja nao hawakuwa nyuma kuelezea ya moyoni, kubwa Zaidi walifurahia uzinduzi huo ulioambatana na ongezeko la odds kubwa, kuthibitisha hilo tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa namachaguo kibao.
Ukiachana na michezo ya kubashiri, kuna kasino ya mtandaoniyenye sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge na familia ya mabingwa wa Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashirimubashara na kama ukiona mkeka wako unachanika unawezakuturbo kuokoa kiwango cha pesa ulichoweka.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea duka la ubashiri la meridianbet uweze kuchezamichezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
0 comments:
Post a Comment