Meridianbet kwa kushirikiana na Kamanda msaidizi wa Mkuuwa kitengo cha usalama barabarani mkoa wa kipolisi KaweInspekta Alex Duguza, wametoa viakisi mwanga ‘Reflector’s’ 100 kwaajili ya bodaboda wote wa eneo la Kawe ili kujinga naajali za barabarani.
Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoniwaliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapaReflector kujinga na ajali.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano MeridianbetMatina Nkurlu alisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo nikuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalamabarabarani.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kuchezamichezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawana sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatishandoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi yaufanyaji kazi”
Inspekta Duguza alitoa elimu kwa bodaboda na kuishukuru pia kampuni ya Meridianbet kwa kuwashika mkono vijana hao.
“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwaniitawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwasana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikiaombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
0 comments:
Post a Comment