// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MBRAZIL WA SINGIDA BIG STARS HADI MSIMU UJAO TENA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMBRAZIL WA SINGIDA BIG STARS HADI MSIMU UJAO TENA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NYOTA wa Singida Big Stars, Dario Frederico amemaliza ruhusa ya mwezi mmoja ya matibabu nchini kwao, Brazil na ripoti ya daktari inaonesha amepona kwa zaidi ya asilimia 90. Klabu kupitia kwa ushauri wa kitaalamu wa daktari imemuongezea muda Dario Jr ili aweze kuwa timamu kwa asilimia 100. Singida Big Stars imesema kwamba kutokana na maamuzi hayo, mchezaji huyo ataungana na kikosi rasmi wakati wa maandalizi msimu ujao. Wadau na mashabiki wa Singida Big Stars watarajie kumuona Dario akiwa kwenye kiwango bora zaidi atakapoungana na timu kwenye kambi hiyo nchini Tunisia.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment