BAO la mkwaju wa penalti la Richardson Ng’odya dakika ya 60 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo. Kwa ushindi huo, Mbeya City inakwenda hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo ikiungana na mabingwa watetezi, Yanga, Simba, Geita Gold, Ihefu SC, Mtibwa Sugar na Singida Big Stars. Orodha ya timu za Robo Fainali itakamilika baada ya mchezo wa mwisho wa Hatua ya 16 Bora baina ya wenyeji, Azam FC na Mapinduzi ya Mwanza usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment