WENYEJI, Manchester United wamejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda Robo Fainali ya UEFA Europa League kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Real Betis jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao ya Man United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya sita, Antony dakika ya 52, Bruno Fernandes dakika ya 58 na Wout Weghorst dakika ya 82, wakati la Real Betis limefungwa na Ayoze Pérez dakika ya 32. Timu hizo zitarudiana Machi 16 Uwanja wa Benito Villamarín Jijini Sevilla na mshindi wa jumla atakwenda Robo Fainali.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment