MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mabao ya Manchester City yamefungwa na Phil Foden dakika ya 15 na super-sub Bernardo Silva dakika ya 67 na kwa ushindi huo, kikosi cha Pep Guardiola kinafikisha pointi 58 katika mchezo wa 26, ingawa kinabaki nafasi ya pili kikizidiwa pointi mbili na Arsenal yenye mechi 25. Kwa upande wao, Newcastle United baada ya kichapo hicho wanabaki na pointi zao 41 za mechi 24 nafasi ya tano.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment