SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha Mualgeria, Adel Amrouche kuwa kocha mpya wa timu ya taifa, Taifa Stars
Adel Amrouche mwenye uraia wa Ubelgiji pia, ana uzoefu na soka ya Afrika, kwani licha ya kuzaliwa, kucheza na kufundisha Algeria pia amekuwa kocha katika mataifa mengine kadhaa barani.
0 comments:
Post a Comment