// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC YAZINDUKA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC YAZINDUKA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, March 09, 2023

    KMC YAZINDUKA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 UHURU


    WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
    Mabao yote ya KMC leo yamefungwa na kiungo Daruwesh Saliboko dakika ya nane na 45, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika michezo nane, saba ya awali wakifungwa sita na droo moja.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 26 na kusogea nafasi ya 11, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 32 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 25.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YAZINDUKA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top