// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, March 26, 2023

        KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS


        MABEKI  wa Simba, Shomari Kapombe (juu) na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (chini) wakiwa mazoezini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kurejeshwa kikosini leo kuelekea mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry