GEITA GOLD YATINGA ROBO FAINALI AZAM FEDERATION CUP
WENYEJI, Geita Gold wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Green Warriors leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita. Mabao ya Geita Gold yamefungwa na Manyasi dakika ya saba, Daniel Lyanga dakika ya 17 na Elias Maguli dakika ya 57, wakati la Green Warriors limefungwa na Thabit Thabit dakika ya tisa.
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment