// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA SINGIDA STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECOASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA SINGIDA STARS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA SINGIDA STARS
WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Coastal Union walitangulia kwa bao la Greyson Gerlad dakika ya 44, kabla ya Singida Big Stars kusawazisha kupitia kwa Bright Adjei dakika ya 74. Kwa matokeo hayo, Coastal Union inafikisha pointi 26, ingawa inabaki nafasi ya 12, wakati Singida Big Stars inafikisha pointi 48 na kusogea nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi 25.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment