// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YAITANDIKA LEICESTER CITY 3-1 KING POWER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YAITANDIKA LEICESTER CITY 3-1 KING POWER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TIMU ya Chelsea imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power Jijini Leicester, Leicestershire. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Ben Chilwell dakika ya 11, Kai Havertz dakika ya 45 na ushei na Mateo Kovacic dakika ya 78, wakati la Leicester City limefungwa Patson Daka dakika ya 39. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 37 nafasi ya 10, wakati Leicester City inabaki na pointi zake 24 nafasi ya 16 baada ya wote kucheza mechi 26.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment