KLABU ya Azam FC itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar Jumatano Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na baada ya hapo itasafiri kwenda Kenya kwa ajili ya mchezo na wenyeji, Gor Mahia Jumapili. Taarifa ya Azam FC imesema kwamba kikosi kitaondoka Dar es Salaam Ijumaa kwenda kwneye mechi dhidi ya Gor Mahia itakayochezwa Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi kuanzia Saa 9:00 Alasiri. Kuhusu mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar, itafanyika Uwanja wa Azam Complex Saa 1.00 usiku.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment