Friday, March 24, 2023

    AZAM FC KUCHEZA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI NA KMC JUMATATU


    KLABU ya Azam FC Jumatatu ijayo inatarajiwa kucheza mechi nyingine ya kurafiki dhidi ya KMC Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 3:00 usiku.
    jana kupitia mwakilishi wake, Hassan Seif ilimkabidhi zawadi ya jezi zake mpya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (SAPC), Jumanne Muliro.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC KUCHEZA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI NA KMC JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry