WENYEJI, Arsenal wametanua uongozi wao kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton jana Uwanja wa Emirates Jijini London. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Bukayo Saka dakika ya 40, Gabriel Martinelli mawili, dakika ya 45 na ushei na 80 na Martin Odegaard dakika ya 71. Kwa ushindi huo Washika Bunduki wanafikisha pointi 60 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 25, wakati Everton inabaki na pointi zake 21 za mechi 25 pia nafasi ya 18.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment