BAO pekee la beki Mkongo, Henock Inonga Baka 'Varane' dakika ya 20 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Vipers katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa St. Mary's mjini Kitende. Ushindi huo unaipa pointi tatu za kwanza Simba baada ya kupoteza mechi mbili za awali za Kundi C, 1-0 mbele ya Horoya Jijini Conakry na 3-0 mbele ya Raja Casablanca Jijini Dar es Salaam, wakati Vipers inabaki na pointi yake moja katika mechi tatu pia.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment