• HABARI MPYA

        Sunday, February 26, 2023

        MWANA FA NAIBU MPYA WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO



        RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua mwanamuziki na Mbunge wa jimbo la Muheza mkoani Tanga kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul aliyehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MWANA FA NAIBU MPYA WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry