TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandege FC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ dakika ya 52, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 64 na. Cleophace Mkandala dakika ya 90. Huo ulikuwa mchezo wa pili kwa kirafiki kwa Azam FC ndani ya wiki moja, baada ya Jumamosi kuichapa KMKM 1-0 hapo hapo Chamazi yote yakiwa maandalizi ya mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Simba SC Februari 21.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment